Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole Numbisa Na timu yako
 
Barcelona watatoa ofa ya pauni milioni 130 kumnunua Coutinho, 25, wiki hii, na wana uhakika kuwa watampata mchezaji huyo wa Liverpool ambaye walikosa kumnunua msimu uliopita. (Sunday Mirror)
 
Arsenal wana nia ya kumsaini beki wa Chelsea David Luiz, lakini ikiwa Chelsea hawataki kuumuuza mchezaji huyo wa miaka 30 kwa mahasimu wao basi mbrazil huyo ataelekea Juventus. (Sunday Express)
 
Arsenal wameibuka kuwa katika kumsaini Steven N'Zonzi, 29, kutoka Sevilla huku meneja wa Everton Sam Allardyce akikiri kuwa na mpango wa kuboresha safu yake ya mashambulizi na ulinzi. (Daily Star Sunday)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…