Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli waumini wake wanapata neno kali la kiroho litakalowasaidia kuuingia mwaka mpya wakiwa tayari kimapambano na yule mwovu. Safi sana Zakaria [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]KAKOBE AWAJIBU T.R.A.
"Wokovu unaitwa ni utajiri usiopimika. Sasa usije ukayatafsiri kama upendavyo"
Waefeso. 3:5-8
"Tafuta mradi wowote wa Kakobe Tanzania nzima, na ukiupata, nitakupa zawadi hadharani."
"Kwa maana hiyo sasa,Tafuta kodi kwingine."
"Fedha yoote ya Tanzania, ya Marekani, China, huwezi kununua tiketi moja ya Mbinguni. Na ndio maana ukiwa umeokoka, unakuwa na utajiri usiopimika."
"Na ndio maana ninapiga kelele, kwamba mimi ni Tajiri kuliko serikali ya Magufuli."
"Fedha zoote ni mali ya Bwana na mimi ni mrithi wa mali hiyo" hagai 2:8
"Na ndio maana ukisikia kitu kinatoka madhabahuni, tulia kidogo kwanza, na fanya mahesabu kabla hujamkabili Kakobe..."
Ibada inaenelea...na bado mkesha...
Mbn hujanitag wapi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji8]Kachukue busu lako nimekuwekea mahala wahi haraka
SimbaaaaJamaniiii !!!
Chama la wana?
Ujumbe wa picha. Babu bila shaka yuko vizuri kwenye salt mining [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Numbisa Mungu anakuona. Ndio nini kumtundika Babu na pipi kijiti, anaramba! [emoji23]
Mbn hujanitag wapi [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji8]
Niliona comment yako mahala ikanichekesha sana. Something like "Kitumbua chenye mafuta natural cha moto kimeumuka..." U mkorofi sana sometimes ukiamua [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Na yeye anafaidi bana