Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

To you too my dear!
Mwenye Enzi Mungu atuongoze na ku tubariki sisi na vizazi vyetu na nchi yetu Tanzania na dunia yetu!
Maadui zetu wote wafe wao pamoja na vizazi vyao milele yote!
Nashukuru kwa kunikumbuka walahi tena!
For sure The Almighty Supreme Creator is on our side forever!
Remain blessed my dear!
Asante sana my love uwe na Siku njema Mwenye Enzi Mungu abariki Kazi ya mikono yako
Happy new year 2018
 
Rais John Magufuli ametuma rambirambi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa msiba wa watu 36 uliotokana na ajali.

"Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko taarifa za ajali iliyosababisha ndugu zetu takriban 36 kupoteza maisha baada ya basi la abiria kugongana na lori katika Barabara ya Nakuru - Eldoret nchini Kenya,” amesema Rais Magufuli katika taarifa iliyotolewa jana Jumapili Desemba 31,2017.
 
Taarifa ya Ikulu imesema msiba huo umesababisha majonzi si tu kwa Wakenya bali pia kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutokana na kupoteza nguvu kazi.

“Kwa niaba ya Watanzania wote nakupa pole ndugu yangu Uhuru Kenyatta, Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa msiba huu mkubwa ulioupata, nawapa pole wana familia wote waliowapoteza jamaa zao na pia nawapa pole wananchi wote wa Kenya,” amesema.
 
Back
Top Bottom