Ndetirima JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 1,008 Reaction score 790 Jan 1, 2018 #532,741 Beef Lasagna said: Heri ya mwaka mpya Click to expand... Nawe pia
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Jan 1, 2018 #532,742 Mahusiano ya kingono kati ya malaika na mashetani
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Jan 1, 2018 #532,743 Tafsiri ya ndoto
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Jan 1, 2018 #532,744 Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 47,776 Reaction score 257,882 Jan 1, 2018 #532,745 Yajue makundi manne ya dawa za kulevya & madhara yake
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,746 Rafiki wapenzi Habari zenu
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,747 Nimeondoka hapa mwaka jana tar 31-12-2017 SAA 11 jioni. .
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,748 Hivyo naomba niwatakie HERI ya MWAKA MPYA 2018.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,749 Mwaka wa 2017 tuliuanza kama hivi, tunamshukuru Mwenyezi MUNGU tumeumaliza
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,750 Sasa huu ni mwaka mwingine, Tumuombe sana Mwenyezi Mungu atuvushe tukiwa na afya njema
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,751 Hata hivyo naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru nyinyi wana uzi huu, kwa ushirikiano na MAPENZI ya dhati mliyonipa.
Hata hivyo naomba nichukue nafasi hii kuwashukuru nyinyi wana uzi huu, kwa ushirikiano na MAPENZI ya dhati mliyonipa.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,752 Wakati tunauanza mwaka 2017 hatukutarajia kukutana mahali kama hapa
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,753 mzee wa liver said: Mwaka mpya vyuma kama kawaida Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3]
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,754 Kwa MAPENZI yake MUUMBA ametuwezesha kukutana mahali kama hapa tukielimika na kufurahi pamoja
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,755 Hii nI siku mpya iliyo ndani ya wiki mpya na mwaka mpya. Ni baraka kubwa kwetu kuupata pamoja mtiliko huu. Na tuseme ALHAMDULILLAH
Hii nI siku mpya iliyo ndani ya wiki mpya na mwaka mpya. Ni baraka kubwa kwetu kuupata pamoja mtiliko huu. Na tuseme ALHAMDULILLAH
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,756 Ndugu zangu, mliyoyafanya hapa mwaka ulioisha ni makubwa.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,757 Kikubwa kabisa mlichofanya mwaka Jana siyo zile likes za kishindo tulizokuwa tunapeana
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,758 Kikubwa tulichafanya mwaka Jana ni UPENDO na SUBIRA tuliyofanyiana hapa.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,759 Ndugu zangu tuliyoyafanya mwaka Jana yameacha simulizi kwenye mitaa na vichochoro vyote vya JAMIIFORUMS.
Ndugu zangu tuliyoyafanya mwaka Jana yameacha simulizi kwenye mitaa na vichochoro vyote vya JAMIIFORUMS.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jan 1, 2018 #532,760 Wakuu nawaomba, yale tuliyoyafanya mwaka Jana yawe ndiyo dibaji yenyewe ya kitabu. Sasa na tuzifugue kurasa zake tuanze kusoma simulizi yenyewe
Wakuu nawaomba, yale tuliyoyafanya mwaka Jana yawe ndiyo dibaji yenyewe ya kitabu. Sasa na tuzifugue kurasa zake tuanze kusoma simulizi yenyewe