mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Asante sana my love uwe na Siku njema Mwenye Enzi Mungu abariki Kazi ya mikono yakoTo you too my dear!
Mwenye Enzi Mungu atuongoze na ku tubariki sisi na vizazi vyetu na nchi yetu Tanzania na dunia yetu!
Maadui zetu wote wafe wao pamoja na vizazi vyao milele yote!
Nashukuru kwa kunikumbuka walahi tena!
For sure The Almighty Supreme Creator is on our side forever!
Remain blessed my dear!
HahahahahaHeri ya Mwaka Mpya wapenda likes!
Nimefurahi kwa kweli kukuona nimeita mpka umeitika heri ya mwaka mpya kwako na familia kwa ujumlaYes my dear
Naam mpendwa wangu!
Kweli kabisa The one and onlyThe one and only!
Hahahahaha....hakuna mtu hapa ameoga tangu last year[emoji81][emoji81][emoji81]
don't argue with your elders☹☹☹[emoji38][emoji38][emoji38]