Ana followers karibia milioni moja Insta na anadai ni mwarabu Orijino kutoka Persia (Iran)Naamini huyu akipimwa IQ unaweza ukakuta Ana 0.00002
Naam lv ISIS...Cole Williams
Tunaendelea kuwa kumbusha wadau wote.Tulisha toa tahadhari kwa wenye ndoa. Huu uzi haushabihiani na ndoa kabisa. So kuwa makini na ndoa yako.
PokeaKaz Kaz tunakiu ya likes
HiBP 148/96mmHg.
Mkuu. Vurugu hili la likes unafikiri mtu atakumbuka kitu. Go directly ikibidi hata PM. Usisahau kuleta mrejesho...Kwan haumkumbushagi si nilishaweka mabandiko mara nying tu I hope anajua...
Kosa kubwa sana kwa wazazi...
Hahahaaaaaaa!!! Eti ushauri ea kukera!!! Kumbe haujasahau tu!! Natamani mtu tena aanzishe uzi wa vile.Nimezoea ukorofi wako wa kimahabat, ukitoa ushauri wa kukera huku unacheka kimwandiko mwandiko
Noted[/QUOTE]Jamani mbon mie natoa
Imagine uzeeni mtu hata ukiona msambwanda wa kufa mtu wala hujali. It's scary!Kula maisha ujanani fainali ni uzeeni. Utakapoona kila kitu ni machukizo