Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji6]
74e03717db8ec2c0b42e2450b5ffbd8b.jpg
 
Kwa kweli hizi sio tuhuma ni kweli kabisa nimerudi nyuma sana sijaona like za hawa watu so inabidi kufanya decision kuhusu wao yaani Niko moto hata likes zangu kwao naweza kuzitoa kabisa na Nina uwezo huo sishindwi kuanzia post number one nakuanza kuremove likes
Baba watoto ! My dear![/QUOTE]
Ok.


Naomba kwa ambao wanaingia kwwnye huu uzi mlike kila post ambayo umeisoma au kuiona simple rule.
Kama ni mzigo kufanya hivyo unashauri kwenda kujwaa la siasa ukatoe hoja moto moto ili upate hizo like bila ya kutoa like.


Naomba msiharibu lengo na madhumuni ya huu uzi.
 
Baba watoto ! My dear!
Ok.


Naomba kwa ambao wanaingia kwwnye huu uzi mlike kila post ambayo umeisoma au kuiona simple rule.
Kama ni mzigo kufanya hivyo unashauri kwenda kujwaa la siasa ukatoe hoja moto moto ili upate hizo like bila ya kutoa like.


Naomba msiharibu lengo na madhumuni ya huu uzi.[/QUOTE]
Sawasawa..
 
Back
Top Bottom