Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1 Wakorintho 10:13
Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
 
Happy nyu yia SYB...
Kwema kabisa, Fungate [emoji23] [emoji23] nimekumbuka vingi, Za siku nyingi?
 
Abiria wa kampuni ya ndege ya Fastjet wamekwama kusafiri kwenda Mwanza ikielezwa ndege imepata hitilafu ya kiufundi.

Wasafiri hao wamekwama leo Jumatatu Januari Mosi, 2018 saa mbili asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Abiria zaidi ya 30 walikwama uwanjani hapo.
 
Mwandishi wa MCL Digital aliwashuhudia abiria wakizunguka huku na kule kupata ufumbuzi wa safari.

Zenusta Alex aliyekuwa asafiri na ndege hiyo amesema alitoka nyumbani mapema na ndege ilitakiwa kuondoka saa nne asubuhi.
 
Nilipowauliza wahusika wakanieleza kuna tatizo la hitilafu la kiufundi, nikajiuliza sasa kama ni hivyo kwa nini hawakutueleza mapema badala yake wanatuambia safiri ni hadi keshokutwa,” amesema Alex.

Amesema alikata tiketi ya Januari Mosi hadi 5 na alikuwa asafiri kuelekea Mwanza na ndugu zake saba.
 
Abiria mwingine, Sandra Mshomi amesema ni utaratibu mbovu uliowekwa na Fastjet kwa kuwa linapotokea tatizo kama hilo kampuni inapaswa kuhakikisha abiria wanafika sehemu husika.

Ofisa Uhusiano na Masoko wa Fastjet, Lucy Mbogoro amesema tatizo hilo la kiufundi linashughulikiwa na wataalamu. Amewaomba radhi abiria kwa niaba ya kampuni hiyo.
 
Kiungo hiki kinatumiwa sana katika Bara la Asia na hasa India na China. Kutokana na umuhimu wake kiafya, vyakula vingi hupikwa kwa kuchanganya na kiungo hiki ambacho sasa kimeenea dunia nzima, ikiwemo Tanzania.
 
FAIDA ZA BIZARI KIAFYA
Bizari hutumika na watu wengi kama kiungo cha mboga cha kuongeza ladha katika mchuzi na pengine kuweka rangi, lakini kuna faida nyingi unazozipata unapotumia kiungo hiki kila mara katika mapishi yako.
 
Inaelezwa kuwa bizari ina virutubisho vyenye uwezo wa kuimarisha kinga ya mwili, mara 8 zaidi ya Vitamin C na Vitamin E, ina uwezo wa kushusha kiwango cha lehemu (cholesterol) na kuzuia mtu kuzeeka kabla ya wakati.
 
SUALA LA UBORA NI MUHIMU
Katika ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na teknolijia tulionao sasa, bizari hutengenezwa viwandani na kuhifadhiwa kwa usafirishaji sehemu mbalimbali duniani na kwa ajili ya matumizi ya muda mrefu. Katika hali kama hiyo, si ajabu kukuta bizari iliyoongezewa kemikali zingine za kuhifahdia chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…