Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upikaji mzuri ni ule wa kuweka kiungo hicho mwisho baada ya mboga yako kuchemka na kuiva, kwani haitakiwi bizari kuchemka sana.
Kwa ujumla hizi ndizo faida utakazozipata ukiifanya bizari kuwa sehemu ya viungo katika mlo wako wa kila siku:
 
UTAIMARISHA CHEMBE HAI ZA MWILI
UTAIMARISHA MFUMO WA USAGAJI CHAKULA
UTAIMARISHA MFUMO WA DAMU MWILINI
UTASHUSHA KIWANGO CHA KOLESTRO MWILINI
UTAIMARISHA MFUMO WA UZALISHAJI MBEGU ZA UZAZI
UTAIMARISHA KIWANGO CHA SUKARI MWILINI.
 
Upikaji mzuri ni ule wa kuweka kiungo hicho mwisho baada ya mboga yako kuchemka na kuiva, kwani haitakiwi bizari kuchemka sana.
Kwa ujumla hizi ndizo faida utakazozipata ukiifanya bizari kuwa sehemu ya viungo katika mlo wako wa kila siku:
Kule Marekani bizari inapigiwa chapuo na wadau kuwa ni kinga na tiba ya aina mbalimbali za saratani; na inauzwa kama dietary supplement kwa madai hayo japo hayajathibitishwa kisayansi !!!
 
Nikipata nafasi tu namwaga miinsha nipate likes miaaa. Mwanza pazuri hasa kama pesa zipo utafaidi sana.

Usisahau kupita soko kuu hahahaa labda numbisa anauza nyanya humo

Au kamanga ferry.

Panda kivuko cha kama au cha busisi ili ufaidi upepo wa ziwa victoria.

Bila kusahau kwenda kutalii saanane island
Likes 100 leo. Bandika nibandue...Mwanza kunapendeza !!!
 
Nikipata nafasi tu namwaga miinsha nipate likes miaaa. Mwanza pazuri hasa kama pesa zipo utafaidi sana.

Usisahau kupita soko kuu hahahaa labda numbisa anauza nyanya humo

Au kamanga ferry.

Panda kivuko cha kama au cha busisi ili ufaidi upepo wa ziwa victoria.

Bila kusahau kwenda kutalii saanane island

Nilisoma maeneo hayo ya ziwa tena pande zote mbili. Kamanga ferry na upepo wa ziwa naufahamu vizuri sana. Sokoni humo nishapita pia. Sasa naelekea Bugando. Classmate ana mgonjwa pale naenda kumwona. Wenyeji nyie roho mbaya tu yaani. Mnaogopa wageni. Gold Crest hapa halafu wenyeji hakuna...

Weka tu minsha mi nifanye yangu. Uwe na mwaka mpya wenye heri wewe pamoja na wapendwa wako...
 
Bugando muda wa kuona wagonjwa saa kumi kamili jioni na saa moja asubuh.

Muda huu sidhan kama utaruhusiwa kumuona mgonjwa.

Pesa pesa,yaan soda tu hapo inakaribiana na bei ya bia za mtaan.chips na mazaga zaga tele bei yake hatar bora kula bata uswahilin huko tunawaachia wagen wanaokuja kula maisha mwanza

Wenyeji wapo pembezon wanachakarika tu kama pale steshen kuna wakaanga samaki na dagaaa,nenda makoroboi mliman kuna watengeneza koroboi na vitu vyote vya chuma.

Ila wewe sio mgeni bana mwenyeji uliyebahatika kuonja hewa ya kwa trump

Mwaka mpya wenye baraka tele kwako pia na kwa familia pia

Back
Top Bottom