Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sanchoka

24845223_1574757532573796_3956674355844349952_n.jpg
kiti kitapona hapo...
 
Waliosimamishwa kazi ni mhasibu wa mamlaka hiyo, Johnson Rugemalira; msoma mita za maji, Justus Justiniani na Verdiana Nyamkara.
 
Akizungumzia watumishi hao mwishoni mwa wiki iliyopita, mkurugenzi mtendaji wa Iguwasa, Raphael Merumba alisema wamesimamishwa kazi baada ya kubaini kuwa Sh4 milioni fedha za ankara za maji walizokuwa wakikusanya kwa wateja zilikuwa hazifikishwi ofsini.
 
Merumba alisema kwa sasa wanasubiri kikao cha bodi ya maji ambacho kitafanyika mwezi huu kujadili jambo hilo na endapo watakutwa na hatia hatua zingine za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
 
Mkurugenzi huyo aliwataka watumishi kufanya kazi kwa uadilifu na kuachana na tamaa za kuchukua fedha zinazolipwa na wateja wanaowahudumia.
 
Kamwe hatutasita kuchukua hatua za kisheria kwa mtumishi yeyote atakayebainika kuiba fedha za ankara za maji zinazolipwa na wateja,” alisisitiza.
 
Akizungumzia tuhuma za kutafuna fedha, Rugemalira alisema hajafanya ubadhirifu wowote wala hajawahi kuwafuata wateja kwa lengo la kuchukua fedha zao.
 
Back
Top Bottom