myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
20:05
Wengi wamejiongezea,mfano huyu kuna tite maalumu kwa ajili ya kutunisha hivyo,wapo wanaochoma sindano hapo kupata size waitakayoWatu wa hivyo wanaona wamependelewa au wanajiona kawaida?
Umeona eeh! Kitu kimefutuka sijui utamu wake utakuwaje 😛😛😛
Hapo sawa maana wapo waliotaman kuuona mwaka mpya na hawakufanikiwaHahhaa! Alisherekea sana mwaka mpya..
Dah! Uhalisia ndio muhimu..Wengi wamejiongezea,mfano huyu kuna tite maalumu kwa ajili ya kutunisha hivyo,wapo wanaochoma sindano hapo kupata size waitakayo
Twashukuru kumaliza 2017, hatimaye kuona 2018. Tumuombe mwenyezi mungu atuvushe kumaliza 2018 kwa rehma zakeHerini ya Mwaka mpya na Krismass wakuu wote kwenye huu uzi wetu.
Hahahaha umewaza mbali hivyo
Imebidi maana hii kitu si ya kawaida Numbisa. Vitu vya hivi huwa ni nadra sana.