myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku uwe mwema kwetu
Hee jaman kisa na mkasa?Sakayo hajambo ! Sema jana kaponea kufa.. [emoji3]
Anatuma picha nyingine mpaka ikufunguka unaangalia kama kuna mtu anakuangalia pembeni..Kosa la BAK sio mie hahahaa
HahahahaaaAnatuma picha nyingine mpaka ikufunguka unaangalia kama kuna mtu anakuangalia pembeni..
Hahahahaaaa acha tu, watu na maumbo yaoKwi kwi kwi kwi LoL! Shurti kwa hamira
Watu wa hivyo wanaona wamependelewa au wanajiona kawaida?Hahahahaaaa acha tu, watu na maumbo yao
Hahahahaaaa acha tu, watu na maumbo yao
Hahhaa! Alisherekea sana mwaka mpya..Hee jaman kisa na mkasa?
Nitangulize pole kwake