Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aliingia kwa mbwembwe nyiiingi za kukomesha rushwa iliyokithiri badala yake rushwa ndo inamkomesha na ripoti ya Transparency International inasema kuwa rushwa imezidi. Itabidi aje ajifunze kwetu jinsi ya kupunguza rushwa iliyopindukia kimo...
Alcoholic beverage? While driving? Denja denja.....
Vidole safi na kucha nzuri sana...
Do you drink, sir?