Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
His 15 minutes of fame are already up....
Muasisi wa goli la mkono bana. Siasa zina fomyula?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Jana mara mbili nakosea !!!
Huo ndo msosi sasa hasa kwa wanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Aaaaaaaaarghhhhh..........!!!
Angalizo: Hawa hawatoki ile kanda pendwa !!!
Mbao zikikuangukia waweza poteza maisha ati !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eti wanasayansi wanasemaga ni kanuni ya kifizikia kwamba huwezi kunyanyua kitu chenye uzito sawa na wewe au kinachokuzidi uzito. Waende wakamfukue Isaka Niutoni aje ajionee maajabu hapa...
Lugha...huamriwa na jamii. Hata tungeamua kuziita kombolela kama jamii ikikubali haina neno...
Safi sana kamanda. Kususia ni ukomavu hasa !!!
Hatimaye...
Itakuwa afadhali. Mabilioni ya ruzuku yaende kwenye miradi ya maendeleo
[emoji16][emoji16][emoji16] Umekuwa M'kiti kwa muda gani Mh? Hata Hai huwezi kuhutubia?
Wananyanyaswa na nani?
Siasaaaa. Jukwaa la siasaaaaaa. Sihasa....
Mliipigana kwa zaidi ya miaka 10. Halafu mkaitelekeza...