Mahakama hiyo pia imesema kwamba makubaliano hayo kati ya mzazi na watoto haitaathiri maisha ya wanawe mwanamke huyo, watamudu, na pia mkataba haujakiuka haki yake kwani alikuwa ametimiza umri wa mtu mzima
Cant waitMchezaji wa Liverpool Philippe Coutinho anaamini kuwa alicheza mechi yake ya mwisho kwa klabu hiyo lakini itagharimu takriban pauni milioni 133 kuhamia Barcelona mwezi huu. (Times)
Hawa si wateule, hawa waliokotezwa duniani baada ya masahibu ya Hitler, lazima watakuwa na roho za aina hiyoTaifa la wateule wa Mungu hawatakiwi kuwa na roho mbaya kiasi hiki! Ni wateule uchwara hawa tena wabaguzi wakubwa sana.