Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0967FBDA-2071-4396-935C-467AB003B0D1.jpeg
 
Hivi Utajisikieje Utakaposikia Rafiki Yako wa Karibu Hajaja Kwenye Mazishi Yako ???!
Nadhani Mimi Sitamwongelesha Tena !!!!
emoji34.png
emoji34.png
emoji34.png
emoji34.png

I think nakaribia kupona
Kitu chenye thamani siku ya mazishi yako ni Amali uliyochuma enzi za uhai wako. Ndugu, rafiki na mali zako wataishia kaburini, Amali zako ndizo zitakufaa. Kwahiyo ni heri tufikirie aina ya Amali tutakayoishi nayo milele kaburini kuliko rafiki asiyefika kukuzika
 
Niliwahi kusikia kuwa maji na mafuta havichangamani, na pia mafuta huwa yanaelea juu ya maji... Basi jana mimi nikaamua kupaka mafuta mengi tu miguuni kisha nikaingia baharini ili niweze kutembea juu ya maji maana nilihisi ningeelea na kuweza kufanya chochote.
Sikumbuki nini kilitokea lakini nilijikuta nimelala mchangani watu wakiwa wamenizunguka huku wakisema niwashukuru sana wavuvi. Nadhani watakuwa wamenipa samaki wa bure.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom