Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mswada huo pia unarejesha takwa la rais kuongoza kwa mihula miwili pekee ya miaka mitano.

Kwa kuwa sheria hiyo itaanza kutekelezwa sasa, Bw Museveni anaweza akaongoza taifa hilo hadi 2031.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la Uganda, katibu wa rais Bi Linda Nabusayi amesema Bw Museveni alitia saini mswada huo kuwa sheria Desemba 27 na kisha akatuma waraka tarehe 29 Desemba.
Njia za ujanja ujanja za kuendelea kutawala mpaka Dahar
 
Attachments

  • C8069F2A-0D3E-4466-956E-4E9D552EE3DB.jpeg
    C8069F2A-0D3E-4466-956E-4E9D552EE3DB.jpeg
    18.9 KB · Views: 29
Mapacha walioungana, Maria na Consolata wakazi wa Iringa, watahamishiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya matibabu zaidi. Juma lililopita walilazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa kutokana na matatizo ya moyo...kwa pamoja tuwaombee Mungu awajalie afya njema
 
Mswada huo pia unarejesha takwa la rais kuongoza kwa mihula miwili pekee ya miaka mitano.

Kwa kuwa sheria hiyo itaanza kutekelezwa sasa, Bw Museveni anaweza akaongoza taifa hilo hadi 2031.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Monitor la Uganda, katibu wa rais Bi Linda Nabusayi amesema Bw Museveni alitia saini mswada huo kuwa sheria Desemba 27 na kisha akatuma waraka tarehe 29 Desemba.
Siasa za hila
 
Back
Top Bottom