Karibu tena mkuu. Mungu ni mwema na Aliahidi kuwa kamwe hatatuacha. Uwe na moyo mkuu !!!
Pengine swali la kujiuliza ni hili: Kwa nini wahamiaji kutoka Afrika na siyo Ulaya na kwingineko?Taifa la wateule wa Mungu hawatakiwi kuwa na roho mbaya kiasi hiki! Ni wateule uchwara hawa tena wabaguzi wakubwa sana.
Numbisa. Likes 100 sijafikisha? Kama bado sema niendelee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hivyo basi ili kuhakikisha unakuwa na ngozi ya uso iliyochangamka wakati wote kwa kuiosha, lakini unatakiwa kuwa makini zaidi katika hili.
Hahahaha hata sijahesabu nadhan zimeshafika. WabhejaNumbisa. Likes 100 sijafikisha? Kama bado sema niendelee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Heri ya mwaka mpya ndugu yangu. Hakika tupo duniani kwa kusudio la Mungu. Habari ya majukumuKaribu tena mkuu. Mungu ni mwema na Aliahidi kuwa kamwe hatatuacha. Uwe na moyo mkuu !!!
Amina. Uwe na mwaka wenye mafanikioMungu ni mwema. Heri ya mwaka mpya