Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwaka mpya Mungu Ametujalia. Pamoja na hekaheka na majaribu yote, ni lazima tumpe sifa yeye Aliyetuumba ili tutimize kusudio lake. Na tukishalitimiza basi tuende zetu kwa Furaha. Kusema kweli hata majukumu sijaanza. Nipo nipo tu yaani...Dunia !!!Heri ya mwaka mpya ndugu yangu. Hakika tupo duniani kwa kusudio la Mungu. Habari ya majukumu
Ni chakula gani
Chakula hicho kinaliwa kwa kiasi gani
Chakula hicho kinaliwa muda gani
Watalaamu wa afya na mambo ya chakula wanabainisha kwamba chakula kinachotakiwa kuliwa kwa wingi zaidi ni chakula chenye wanga (carbohydrates),