Pengine swali la kujiuliza ni hili: Kwa nini wahamiaji kutoka Afrika na siyo Ulaya na kwingineko?
Najua kwa wewe hali ni ngumu sana unayo ipitia. Muhimu tumtegemee Mungu kwa kila jamboMwaka mpya Mungu Ametujalia. Pamoja na hekaheka na majaribu yote, ni lazima tumpe sifa yeye Aliyetuumba ili tutimize kusudio lake. Na tukishalitimiza basi tuende zetu kwa Furaha. Kusema kweli hata majukumu sijaanza. Nipo nipo tu yaani...Dunia !!!