Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heri ya mwaka mpya ndugu yangu. Hakika tupo duniani kwa kusudio la Mungu. Habari ya majukumu
Mwaka mpya Mungu Ametujalia. Pamoja na hekaheka na majaribu yote, ni lazima tumpe sifa yeye Aliyetuumba ili tutimize kusudio lake. Na tukishalitimiza basi tuende zetu kwa Furaha. Kusema kweli hata majukumu sijaanza. Nipo nipo tu yaani...Dunia !!!
 
Kisukari Cha Juu Na Kisukari Cha Chini

Mgonjwa anatakiwa ahakikishe kiwango chake cha sukari katika damu hakibadiliki sana. Kuwa na kiwango kidogo cha sukari katika damu (Hypoglycemia) kuna madhara madhara mengi katika mwili wa mgonjwa kama vile ilivyo kwa mgonjwa kuwa na kiwango kikubwa cha sukari katika damu (Hyperglycemia).
 
Mgonjwa wa kisukari hana masharti ya ajabu kuhusu chakula anachotakiwa kula, kimsingi anaweza kula chakula cho chote anachopenda. Kuna mambo matatu ambayo yanabidi kuangaliwa katika kuweka kiwango cha sukari cha mgonjwa kwenye kiwango kinachofaa. Mambo hayo ni:
 
Mgonjwa wa kisukari hana masharti ya ajabu kuhusu chakula anachotakiwa kula, kimsingi anaweza kula chakula cho chote anachopenda. Kuna mambo matatu ambayo yanabidi kuangaliwa katika kuweka kiwango cha sukari cha mgonjwa kwenye kiwango kinachofaa. Mambo hayo ni:
 
Ni chakula gani
Chakula hicho kinaliwa kwa kiasi gani
Chakula hicho kinaliwa muda gani
Watalaamu wa afya na mambo ya chakula wanabainisha kwamba chakula kinachotakiwa kuliwa kwa wingi zaidi ni chakula chenye wanga (carbohydrates),
 
kikifuatiwa na mboga na matunda, kisha chakula chenye protini na mwisho ni chakula chenye mafuta (fats). Wataalamu na washauri wa magonjwa ya kisukari wanamshauri mgonjwa wa kisukari kupata chakula kwa mpango huo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…