Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwili wa binadamu huhitaji chakula chenye wanga, hatuwezi kuishi bila chakula cha aina hii. Mwili hubadilisha wanga na kuwa glucose-aina ya sukari ambayo hutumiwa na seli za mwili kwa ajili ya kupata nguvu na kukua.
 
Imeonekana kuwa mtu akila kiasi kile kile cha chakula chenye wanga na muda ule ule kila siku, anakuwa na nafasi kubwa sana ya kudhitibi kiwango chake cha sukari katika mwili wake.
 
Kuwa na ongezeko la glucose katika damu ambalo ni la kawaida kunasaidia kuweza kujua namna ya kuweka uwiano kati ya chakula, dawa na mazaoezi ya mwili na hivyo kudhibiti kiwango cha sukari katika mwili wa mgonjwa.
 
Kuchanganya aina tofauti tofauti za nafaka, matunda na mboga kumeonyesha kusaidia zaidi na mboga zinasidia kupunguza sukari mwilini kwa sababu ya nyuzinyuzi zake. Hilo pia ni sahihi kwa nafaka ambazo ni nzima, zile ambazo hazikukobolewa.
 
Mazoezi ya mwili kwa mtu anayeishi na tatizo la kisukari ni muhimu kwa sababu zifuatazo:

yanasaidia katika kudhibiti kiwango cha sukari katika mwili
yanasaidia kupunguza wa mwili
yanasaidia kudhibit blood pressure
yanasaidia kuweka cholesterol kwenye kiwango kizuri
 
Pamaoja na faida hizi hapo juu, mazoezi pia yanasiadia kupata usingizi mzuri na kupunguza msongo wa mawazo. Inashauriwa kufanya mazoezi angalau kwa siku tano katika wiki na mazoezi hayo yawe ya kawaida, siyo ya nguvu, ambayo yatafanywa kwa muda usiopungua nusu saa kila siku.
 
Mwaka mpya Mungu Ametujalia. Pamoja na hekaheka na majaribu yote, ni lazima tumpe sifa yeye Aliyetuumba ili tutimize kusudio lake. Na tukishalitimiza basi tuende zetu kwa Furaha. Kusema kweli hata majukumu sijaanza. Nipo nipo tu yaani...Dunia !!!
Najua kwa wewe hali ni ngumu sana unayo ipitia. Muhimu tumtegemee Mungu kwa kila jambo
 
Kama hujafanya mazoezi kw muda mrefu, anza na mazoezi madog na kuongeza viwango taratibu. Zingatia kuwa mazoezi yawe kama ya nusu saa kila siku na yafanywe angalau kwa sikumara tano katika wiki na siyo mazoezi ya saa mbili mara moja kwa wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…