Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenza wa Sadio kutoka katika timu ya Liverpool Sane alikuwa mshindi wa pili kwa wingi wa kura, pamoja na nyota mchezaji wa timu ya Dortmund ,aubameyang kushika nafasi ya tatu kwa wingi wa kura.
 
Serikali ya Australia imetangaza kwamba inapania kuwa mwuzaji mkubwa zaidi wa bangi ya kutumiwa kwa ajili ya matibabu duniani.
Taifa hilo linapanga kufanyia mabadiliko sheria zake na kujiunga na Canada na Uholnazi ambazo kwa sasa ndizo nchi pekee ambazo huuza bangi nje ya nchi.
Uruguay na Israel pia zina mipango sawa.
 
Matumizi ya bangi kwa ajili ya burudani bado ni haramu.
"Lengo letu liko wazi: kuwapa wakulima na wenye viwanda wa Australia nafasi bora zaidi katika kuwa wauzaji nambari moja wa bangi ya kutumiwa kwa sababu za kimatibabu duniani," Bw Hunt amesema.
 
Matumizi ya bangi kwa ajili ya burudani bado ni haramu.
"Lengo letu liko wazi: kuwapa wakulima na wenye viwanda wa Australia nafasi bora zaidi katika kuwa wauzaji nambari moja wa bangi ya kutumiwa kwa sababu za kimatibabu duniani," Bw Hunt amesema.
 
Thamani ya jumla ya biashara ya bangi duniani huenda ikafikia $55bn (£40bn; A$70bn) kufikia mwaka 2025, kwa mujibu wa makadirio ya kampuni ya Marekani ya Grand View Research.
Mapema wiki hii, California ilikuwa jimbo kubwa zaidi la Marekani kuhalalisha matumizi ya bangi kwa ajili ya burudani.
 
Polisi nchini Denmark wanachunguza kisa cha wizi wa chupa ya mvinyo inayodaiwa kwa ghali zaidi duniani ya thamani ya dola milioni 1.3.
Chupa hiyo iliyotengenezwa kutoka kwa dhahabu na fedha na kifuniko cha almasi ilikopeshwa baa moja huko Copenhagen ambayo ilikuwa imekusanya chupa za mvinyo kwa maonyesho.
 
Polisi nchini Denmark wanachunguza kisa cha wizi wa chupa ya mvinyo inayodaiwa kwa ghali zaidi duniani ya thamani ya dola milioni 1.3.
Chupa hiyo iliyotengenezwa kutoka kwa dhahabu na fedha na kifuniko cha almasi ilikopeshwa baa moja huko Copenhagen ambayo ilikuwa imekusanya chupa za mvinyo kwa maonyesho.
 
Mmiliki wa baa hiyo Brian Ingberg alisema chupa ilikuwa imetumiwa kwenye kipindi kinachofahamika kama House of Cards.
 
Picha za CCTV zinaonya mvamizi akishika chupa hiyo na kutoroka.
Polisi wanasema kuwa haijuikani ikiwa mwzi huyo ambaye alivamia siku ya Jumanne alivunja au alikuwa na ufunguo.
Bw. Ingberg ambaye ni mmliki wa bar aliiambia runinga ya TV2 kuwa alikuwa ameikopa chupa hiyo kutoka kwa kampuni moja huyo Latvia.
 
Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo?
Labda umewahi kusikia kwamba Coca-Cola wakati mmoja ilikuwa na kiungo cha kusisimua ambacho kiliwafanya wateja kulipenda sana. Hii ni moja ya vilivyochangia jina lake.
 
Coca", kwa Kiswahili koka, ni jina la jani la mmea wa koka, moja ya viungo ambavyo mvumbuzi wa kinywaji hicho, mwanakemia wa Atlanta John Stith Pemberton, alichanganya na shira kutengeneza kinywaji chake.
 
Majani ya koka hutumiwa kutengeneza kokeini.
Wakati huo, mwishoni mwa karne ya 19, ilikuwa kawaida kwa majani ya koka kuchanganywa na divai na kuwa kinywaji cha kuchangamsha mwili.
 
Kinywaji kipya alichotengeneza Pemberton kilikuwa njia nzuri ya kukwepa sheria zilizoharamisha uuzwaji wa pombe.
Sehemu hiyo nyingine ya jina Coca-Cola inatokana na kiungo kingine chenye nguvu, ingawa si maarufu sana.
Kiungo hiki ni kola.
 
Ganda ambalo huwa na kokwa za kola ndani yake huwa na urefu wa inchi mbili na kabla ya kukauka, huwa za rangi ya kijani.
Ndani yake huwa na sehemu yenye fundo za rangi nyekundu au nyeupe kabla hazijakauka.
 
Asili ya kola ni Afrika Magharibi na zimekuwa zikitafunwa kwa miaka mingi na wenyeji kama kitu cha kuchangamsha mwili.
Kokwa hicho huwa na kafeini na theobromine, ambavyo hupatikana pia kwenye chai, kahawa na kakao. Zina pia sukari na kolanin, ambayo huaminika kuwa kichangamsha moyo.
Kufikia karne ya 19, kola zilianza kusafirishwa Ulaya na Marekani na zikaanza kutumiwa katika tembe zilizokusudiwa kutumiwa kuongeza nguvu mwilini.
 
Back
Top Bottom