Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ef80c2804690425520a00eb454bec049.jpg

Good morning to you all[emoji120] [emoji120]
 
Nyota wa timu ya Liverpool ambaye ni raia wa Misri,Mohamed Salah aliyekuwa akichuama na Pierre-Emerick Aubameyang, na Sadio Mane katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora kwa mwaka 2017, ametangazwa kuwa ndiye mchezaji wa mwaka 2017 wa Shirikisho la soka barani Afrika, amenyakua tuzo hiyo kwa wingi wa kura na ubora awapo kiwanjani.
 
Mnamo December 18 mwaka jana , nyota hao wa kusakata kabumbu Mohamed Salah raia wa Misri na mchezaji wa timu ya Liverpool, Sadio Mane raia wa Senegal na mchezaji wa Liverpool na Pierre-Emerick Aubameyang raia wa Ghana na mchezaji wa timu ya Borussia Dortmund.Salah ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza maishani mwake .
 
Tuzo hiyo ya shirikisho la soka barani Afrika ilikuwa na orodha ya wachezaji wapatao 24, miongoni mwao hao watatu mwezi December Salah, Aubameyang na Mane walitangazwa kuingia katika hatua ya mwisho ya tatu bora .
 
Back
Top Bottom