Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mkuu nimekulewa,inafaa upate PHD kwa bandiko lako hiliBroke ass nigga. Jamani !!!
Broke ass nigga huyo anaweza akatokea kuwa ndiyo man of your dreams na mkaishi naye maisha ya furaha sana. Na hakuna guarantee kuwa atabakia kuwa broke ass nigga. Na tajiri wa leo huko mbele anaweza kufulia na kuwa broke ass nigga. Haya mambo hayana fomyula shemeji. Tumakinikie ubinadamu na upendo wa kweli [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Carp sijakutia machoni siku mingi,naona kwako vyuma havijakaza umenoga mkuuTia neno shemeji...
♧OMG[emoji47] ♧
Nipo ila siyo sana kivile. Kwema huko kwako?Shemeji upo?sio kwa kupishana huku