Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchunguzi dhidi ya Nyagura umekamilika; atakamatwa wakati wowote. Ukweli kukamatwa kwake kumeahirishwa kumpa fursa Rais kukutana na makamu wa vyuo vikuu na vya ufundi wiki ijayo," limeandika gazeti la New Zimbabwe.
 
Katika wiki chache zijazo mtashuhudia baadhi ya mawaziri wakisalimisha mali zao kimya kimya hasa majengo kwa kisingizio wanazipatia jamii na kuwapa uwezo maskini. Ikiwa (mawaziri) hawatafanya hivyo kwa hiari, basi wataaibishwa nguvu itakapotumika. Ikiwa watakataa kutii amri watachunguzwa na kushtakiwa,” alisema ofisa wa ngazi ya juu.
 
Chini ya sheria za Misri, ni kosa la jinai kutukana au kukashfu dini. Watu wanaokamatwa kwa kukufuru hukabiliwa na kifungo cha hadi miaka mitano. Kwa pendekezo hili jipya sasa kitendo tu cha kukataa kuamini katika Mungu kinaweza kumsababishia mtu adhabu.
 
Pendekezo hilo lilisimamiwa na mkuu wa kamati ya kudumu ya Bunge katika masuala ya dini, Amro Hamroush ambaye alisema kukosa imani katika Mungu ni tusi kwa dini ambazo chimbuko lake ni Abrahamu – Uislamu,Ukristo na Uyahudi.
 
Ni lazima liwe kosa la jinai na liwekwe kwenye kiwango cha kudharau dini kwa sababu watu wanaomkana Mungu hawana mafundisho ya imani ya dini na wanajaribu kuzitukana dini ambazo chimbuko lake ni Abrahamu,” alisema Hamroush Desemeba 24 alipopendekeza sheria hiyo kwa mara ya kwanza.
 
074bea20565391e4b5ba062cd796a211.jpg
 
Serikali imelazimika kusogeza mbele tarehe ya kufungua shule kwa shule za Azania, Jangwani na Milambo kutokana na Wakala wa Majengo(TBA), kushindwa kumaliza ukarabati huo kwa muda uliotakiwa.
 
Uamuzi huo ulifikiwa leo Jumamosi jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Leonard Akwilapo alipokutana na walimu wa shule hizo na viongozi wa Manispaa ya Ilala.
 
Back
Top Bottom