Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TBA mnapaswa kujua mmepewa jukumu hili kwa kuwa Serikali imewaamini, lakini hii isiwe kisingizio cha nyie kuvurunda kwa kisingizio tu ni taasisi ya Serikali nitapitia tena upya na mwanasheria wetu mkataba tulioingia kuona ni wapi watu hawakutekeleza wajibu wao na hatutasita kuchukua hatua tutakapobaini kuna tatizo," amesema.
 
Hata hivyo, amesema pamoja na kuongeza siku hizo ambapo sasa badala ya kufungua shule keshokutwa Jumatatu, watafungua Januari 22, hataongeza siku zaidi na kuwahakikishia walimu kwamba muda walioupoteza wa ratiba za kufundisha zitafidiwa katika likizo ya Aprili na ile ya Juni.
 
Akijibu sababu zilizowachelewesha kumaliza ukarabati huo kwa muda, Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Dar es Salaam, Manasseh Shekalaghe amesema zipo sababu nyingi zilizochelewesha ikiwemo gharama kuongezeka tofauti na ilivyodhaniwa awali.
 
Kwa upande wa wake Walter Mzembi aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wakati wa utawala wa Robert Mugabe aliyeondolewa madarakani mwezi Novemba, anatuhumiwa kuchangia baadhi ya mali za televisheni ya Taifa kwa kanisa moja nchini humo bila ya idhini ya serikali.
 
Tatizo la kunyonyoka kwa nywele na kuwa na kipara limekuwa likiwatatiza wanaume wengi kwa muda.
Shida hii mara nyingi huanza wanaume wakiwa wana miaka 30 hivi, na kufikia umri wa miaka 50 nusu ya wanaume huwa wanakabiliwa na tatizo hili.
 
Tatizo hili hutokana na vinyweleo vya nywele, ambavyo huwa kina cha ukuaji wa nywele, kujinywea. Shughuli hii huendelea pole pole kwa muda mrefu.
Kuna wengi wanaodai kuwa na tiba ya tatizo hili, baadhi wakitumia dawa za kisasa na wengine za kiasili lakini ufanisi wake huwa tofauti.
 
Ni njia gani hufanikiwa?
Kwa mujibu wa Idara ya Taifa ya Afya Uingereza (NHS) kupandikizwa kwa nywele ni moja ya njia zinazofanikiwa sana.
Lakini gharama yake huwa ya juu mno.
Kupandikizwa nywele kunaweza kugharimu kuanzia £1000 hadi £30,000.
 
Wakati mwingine, daktari wako anaweza kukupendekezea utumie dawa yenye kiungo fulani ambacho hujulikana kama Finasteride. Kiungo hiki hubadilisha viwango vya homoni fulani zinazodhibiti mfumo wa uzazi katika binadamu.
Utafiti unadokeza kwamba tiba hii inaweza kusisimua ukuaji wa nywele tena katika theluthi mbili ya wanaume wenye upara.
 
1515265046005.jpg
 
Wakati mwingine, daktari wako anaweza kukupendekezea utumie dawa yenye kiungo fulani ambacho hujulikana kama Finasteride. Kiungo hiki hubadilisha viwango vya homoni fulani zinazodhibiti mfumo wa uzazi katika binadamu.
Utafiti unadokeza kwamba tiba hii inaweza kusisimua ukuaji wa nywele tena katika theluthi mbili ya wanaume wenye upara.
 
Back
Top Bottom