Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunawashukuru sana (Stemm) kwa moyo wao wa upendo na kuendelea kutusaidia baada ya matibabu yaliyofanyika Marekani. Sasa tumeanza safari yetu ya elimu ambayo tunaamini Mungu atatusaidia kuikamilisha,” alisema Wilson.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Stemm na mwanzilishi wa taasisi hiyo, Steve Meyer alisema, “Hawa ni watoto wa kimiujiza, walinusurika katika mazingira ambayo ni Mungu ndiye anayejua. Hatuwezi kusema kwa nini hakuzuia ile ajali isitokee ila tumuachie yeye, sisi tutawasaidia katika safari yao ya elimu hadi mwisho wao.”
 
Dear buddies, if you do not work hard this 2018,you will keep on forwarding long messages to ten people so that a miracle can happen in 10 minutes...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…