Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8. Mtu wa kwanza kukojoa kwenye mwezini alikuwa Buzz Aldrin, muda mfupi baada ya kutua mwezini.
Mwanzo nilielewa vibaya hadi nikamuonea huruma. Hii inatokea sana kama hauna mchepuko na umetingwa siku ambayo mwenzio yupo safari ya sayari nyingine (hata sijui naongelea nini)

Hako kapicha kako kamedumu sana, mkataba wako na Shimba ulikuwa wa muda mrefu?
 
H

Hahahahahahahahahhaa ila wewe haahhaa jaman jaman uwiii watu na maana zao.

Hapo sasa ndo uzuri wa parachichi ulipo inakuwa na juisi nzito nzito taamu ya moootooo,ikinywewa kitaalamu baada ya miezi tisa pacha mbili tatu lazima(mwee sijui nasemaje in andjul voice)

Mkataba uliisha ila kapicha kamependeza hapo ndo maana kamedumu
 
Back
Top Bottom