Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya tetesi nyingi kumuhusu mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, Philippe Coutinho kuhamia Barcelona, sasa sio tetesi tena bali ni rasmi mchezaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa Hispania.

Coutinho amejiunga na Barcelona kwa dau la Euro milioni €160 na tayari ametua nchini Hispania kwa ajili ya vipimo.

Coutinho (25) amesaini mkataba wa miaka mitano na nusu ambao unadhani ya Euro milioni 400 na leo jumapili atakuwa uwanjani kuishuhudia timu yake mpya ya Barcelona ikiivaana na Levante katika mchezo wa Ligi kuu nchini humo (La Liga).

Hadi kuhama kwake, Coutinho akiwa Liverpool amecheza mechi 201 na kuifungia magoli 54, na alijiunga na Liverpool akitokea Inter Millan kwa dau la Euro milioni €8.5 .

Kwa mujibu wa mtandao wa Klabu ya Barcelona umesema kuwa kesho jumatatu mchezaji huyo ataungana na wachezaji wenzake kwenye mazoezi .
 
H

Hahahahahahahahahhaa ila wewe haahhaa jaman jaman uwiii watu na maana zao.

Hapo sasa ndo uzuri wa parachichi ulipo inakuwa na juisi nzito nzito taamu ya moootooo,ikinywewa kitaalamu baada ya miezi tisa pacha mbili tatu lazima(mwee sijui nasemaje in andjul voice)

Mkataba uliisha ila kapicha kamependeza hapo ndo maana kamedumu
Parachichi uso kwa uso na 'konokono' aliye jivua gamba, hapo ni lazima hiyo kitu pacha itokee.
Kumbe juisi inayo toka kwenye Parachichi ni ya umoto moto eee?
Hata dunia isimame kwa sana hii sishuki. Najaribu kuimajini konokono kulizungushia parachichi hadi lisionekane.. . Jamaniiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahahhaaaa mie sijasemaaaa
 
Watu 32 hawajulikani waliko baada ya meli ya mafuta na ile ya mizigo kugongana mashariki mwa pwani ya China Jumamosi jioni.
Meli ya mafuta ya Sanchi yenye usajili wa Panama ikibeba tani 136,000 za mafuta kutoka Iran ilishika moto baada ya kugongana.
 
Wizara ya uchukuzi nchini China ilisema kuwa watu ambao hawakulinai wali ni wahudumu wa meli wakiwemo 30 raia wa Iran na wawili kutoka Bangladesh.
Wahudumu 21 wa meli ya mizigo wameokolewa.
Picha iliyochapishwa na kituo cha taifa cha CGTN, ilionyesha moto mkubwa na moshi ukitoka kwenye meli ya mafuta.
 
Ajali hiyo ilitokea karibu kilomita 296 kutoka pwani ya Shanghai.
Meli nane za China zimetimiwa kwa oparesheni ya uokoaji kwa mujibu wa shirika la Xinhua nchini China.
Korea Kusini nayo imetuma meli ya walinzi wa pwani na helikopta kusaidia katika uokoaji.
 
Back
Top Bottom