una muda unaweza ukawa unapitia kipindi kigumu ukashangaa hata waliokuzunguka wakawa wanakucheka pembeni,ukashangaa hata wale waliosema watakuwa pamoja wakakugeuka,ukazidi kushangaa zaidi hata yule pia aliyesababisha upitie kipindi unachopitia akawa anafurahia vile ulivyo Kwa kipindi kile tena akijisifu ndani ya moyo wake lakini wote hawa wanasahau kuwa hii ni dunia tu tunapita,hii ni pumzi tu kuna Siku itakata,wanajisahau Kwa kuwa aliyetutunuku vyote hivi haonekani ndio maana binaadamu tunakosa aibu laiti Kama aliyetutunuku angekuwa anaonekana angalau uso umeumbwa na haya binaadamu wangekuwa na haya hata kdg lakini pia hapo hapo binaadamu wanashindwa kuelewa kuwa yule asiyeonekana anaona Kila kitu na ndio maana kuna muda anapata hasira na kusema Yale machozi uliyomliza mwenzio na wewe siku yako ifika nitakutandika fimbo ulie uone raha aliyokuwa anaipata,wanashindwa kujua kuwa kuna Siku yule asiyeonekana atawaambia kile Kicheko mlichokuwa mnacheka huku mkimng'ong'a yeye akihangaika na kutapatapa ipo Siku atakicheka yy nyie mtatapatapa Kwa njia yyt ile binaadamu tunajisahu sana kuna muda nahisi hasira mpk pumzi inataka kukata lkn nashukuru Kila nikitaka Kukata tamaa sauti ya asiyeonekana inakuja ikiwa inanifokea na kuniambia HAKUNA KUKATA TAMAA halafu inashuka na kunibembeleza huku ikiniambia NITAKUFUTA MACHOZI YAKO usicheze na huyu mwenye jina zito (MUNGU/ALLAH) dunia duara!!!