Asante sana.
Hahahaaa jana nilicheka sana hd nikalia
Yaan najiuliza tu hv mema ya nchi anafaidije? HahahahaSio vizuri lkn, kile kiungo ni mhimu sana lkn jamaa naona ameridika hadi ananenepeana hivyo! Nawaza ningekua mm ningekonda [emoji847][emoji847][emoji16]
Unaongelea minenepo ipi mkuu? Halafu siku hizi jirani kahama mtaa ama? Mbona kimya sana?Minenepo ya mji,macho hufaidi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanyakyusa kwa raha zao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
MINENEPO YA MJI mkuu ni ile mambo inawekwaga na 'pacha wako BAK...Unaongelea minenepo ipi mkuu? Halafu siku hizi jirani kahama mtaa ama? Mbona kimya sana?