Uzi wetu pendwa, nimeumis tu
like ama LAKI? maana sielewi kiswahiliWeka like pata like that is our motto. Mzima weye Nsamaka?
like ama LAKI? maana sielewi kiswahili
Nipo mzima wa afya kbs.Weka like pata like that is our motto. Mzima weye Nsamaka?
Komesha upweke kupitia huu mkuuUpweke ni gonjwa baya Sana linaloathiri saikolojia ya mwanadamu
Utafikaje kwenye ndoa kupitia mwanaume usiyempenda?Kuwa kwenye mahusiano na mwanaume usiyempenda ni Matesooo afadhali na yule mfungwa wa segerea lakin sio kuishi ndani ya ndoa na mtu usiyempenda na hisia naye
Wengine wanaolewa ili kuondoa nuksi potelea mbali hata kama mwanaume hampendi..Utafikaje kwenye ndoa kupitia mwanaume usiyempenda?
Uso sawa lakini picha zake full body ni za kawaida sana mkuu...No msambwanda, chicken legs...But again, beauty is in the eyes of the beholder..One of the most beautiful Women in the World.