Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi*

*Babu:*Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
*Wajukuu:*Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
*Babu:* Nani?
*Wajukuu:*Wewe!
*Babu:*Nani? Mimi.... Mimi... Niliuwawa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
aa88412316e84a6235716d1970bf71e0.jpg
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu watano waliokamatwa kwa tuhuma za kujihusisha na uuzaji wa mafuta ya dizeli yanayosadikiwa yalitoka katika bomba lililounganishwa kwa wizi, watapandishwa kizimbani wiki ijayo.
 
Akizungumza na Mwananchi leo Januari 11, 2018 Mambosasa amesema tayari upelelezi wa tukio hilo umekamilika.

Inadaiwa bomba hilo liliunganishwa na Samwel Kilanglani (63) ambaye nyumba yake iko umbali wa takribani mita 20 kutoka lilipo bomba kuu la mafuta la Tanzania na Zambia (Tazama).
 
Kilanglani anayedaiwa kujichotea mafuta kutoka katika bomba hilo alilolipitisha chini ya ardhi amekamatwa pamoja na wenzake wanne, akiwemo mwalimu wa Shule ya Msingi ya Kisiwani Kigamboni, Lenbeka Nganji.
 
Imedaiwa kwamba mfanyakazi huyo mstaafu wa Tazama alianza kutoboa bomba la kwanza na kukuta lina mafuta ghafi na kuziba, kisha kutoboa jingine lililokuwa na dizeli na kujiunganishia hadi nyumbani kwake.

Watuhumiwa wengine waliokamtwa kuhusiana na sakata hilo ni Bariki Dickson, Christon Kapinga na Farhan Ahmed.
 
Ushahdi ushajitosheleza tunamalizia kuandaa jalada ili liende kwa mwanasheria wa Serikali. Tunaamini wiki ijayo watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani ili kujibu tuhuma zinazowakabili,”amesema Mambosasa.

Kukamatwa kwa watuhumiwa hao kunatokana na Kilanglani kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kwa kuwataja wenzake ambao huchukua na kuuza mafuta hayo.
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

[emoji95][emoji115]Don't let your process of growth stagnate. Treat each day as an opportunity to become the better you!

ACTION is always better than STAGNANCY. When you find yourself in a rut, don't hesitate - MOVE!

It doesn't matter if your last endeavor ended in failure. THAT DOESN'T DETERMINE HOW THE NEXT STEP WILL END.

You will always have to keep trying, to keep moving, until you WIN!

It's those who keep themselves in the game that WIN!

Good morning & Have A
Fabulous Friday ahead! [emoji253][emoji123][emoji4]

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
Kuna uzi nimeanzisha huko jukwaa la palace kwa ajili ya hizi kitu za emglish. Na copy hapa na kupaste huko
 
Mwanamke mmoja Martha Haule mkazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa amejifungua watoto mapacha watatu na kuwapatia majina ya Halima Mdee (wa kike) pamoja na Mbowe(Freeman) na Lissu (Tundu).
 
Back
Top Bottom