Duh!Lactose intolerance. Anyone?
Pia fasheni ya kivaa shela.Wengine wanaolewa ili kuondoa nuksi potelea mbali hata kama mwanaume hampendi..
Halafu make up nyingi sana. Angepiga za natural hapo ndio tungejaji vzr.Uso sawa lakini picha zake full body ni za kawaida sana mkuu...No msambwanda, chicken legs...But again, beauty is in the eyes of the beholder..