[HASHTAG]#2Roy[/HASHTAG] Keane - 1993 - paundi milioni 3.75 kutoka Nottingham Forest
Roy Keane alikuwa ndiye mchezaji ghali Uingereza pindi alipokuwa ana hamia United katika kipindi chake . Ndani ya muda mfupi kiungo huyo alikuja kuwa moyo wa timu, alifanikiwa kucheza mechi 480 na kushinda mataji 7 ya Ligi Kuupamoja na Ligi ya Mabingwa mwaka 1999mechi ambayo kiungo huyo hakucheza kutokana na kutumikia adhabu ya kadi