Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[HASHTAG]#19Paul[/HASHTAG] Pogba - 2016 - paundi milioni 89 kutoka Juventus
Usajili uliovunja rekodi ya klabu na Dunia kipindi anajiunga na United akitokea Juve, Pogba alikuwa na presha kubwa nyuma yake kutokana na pesa zilizo tumika kwenye usajili wake lakini taratibu presha inapungua na mchezaji huyo ameanza kuwa mtu muhimu kwenye kikosi cha United