Hii thread sio yako peke yako punguza kupost picha
Safi kiongozi, habari yakoPoa mgonga likes mwenzetu, vipi weye?
Hii thread sio yako peke yako punguza kupost picha
Umemkomesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe !!koma tena koma ,Sikutumii wewe hizi picha kama unaona zinakusumbua pita kimya