Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haimaanishi kwamba mume wangu hatawapa malezi mazuri lakini wasiwasi wangu ni kuwaacha wakiwa na umri mdogo sana. Naomba Mungu anijalie umri mrefu niwalee wanangu mpaka nao waanzishe familia zao,” amesema Pamela na kuongeza “..mbali na hilo, watoto wakiwa wadogo wanahitaji malezi na kuwa karibu na mama yao.”
 
Nipo kwenye ndoa kwa miaka kumi sasa. Sijawahi kutilia shaka uaminifu wa mume wangu kwangu na sijawahi hata kumuwazia kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa. Jambo pekee ambalo sitaki hata kumliwaza ni siku atakayokuja kuniomba ruhusa ya kuoa mke mwengine,” anasema.
 
Woga wa talaka
Tunaelewa kwamba ndoa ni ahadi kuu kwa wapenzi kwa lengo la kuishi pamoja kwa maisha yao yote yaliyobaki, lakini baadhi ya wanawake wanahofia kwamba muunganiko huo utakuja kuvunjika siku moja na kuwaacha wakiwa kwenye majonzi na aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…