Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Woga wa kutopata mume maisha yote
Monica Michael (30) ni mhasibu. Anasema kuwa ana kila kitu anachohitaji maishani mwake lakini anachohitaji kwa sasa ni mpenzi wa kudumu kwakuwa ana wasiwasi wa kubaki mwenyewe maisha yake yote.
 
Ana elimu nzuri kiwango cha shahada ya chuo kikuu, na sasa anamiliki nyumba na gari. Kiungo pekee kinachokosekana kukamilisha maisha mwanaume wa kumpenda.
 
Mara nyingine huwa nafikiria nianzishe mahusiano na mwanaume yeyote tu, tuanzishe familia ili na mimi nionekane nimekamilika. Pia itafanya watu wangu wa karibu waniheshimu,” amesema na kuongeza kuwa kibaiolojia anaona amechelewa sana.
 
Kuna baadhi ya wanawake huwa hawaridhiki na mafanikio walivyofikia. Wataalamu wanasema kuwa kwa hali kama hiyo,
 
wengine wanahitaji kujituliza na kuwa na mtazamo chanya wa kimaisha ya kwamba mambo yatanyooka bila kujali mahusiano yako ya kimapenzi au ya kazini.
 
Woga wa kutokuwa na uwezo wa kubeba mimba
Malpa Kimaro (30) anasema kuwa anaogopa sana kwamba labda hataweza kuja kubeba mimba maisha yake yote baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na tatizo hilo.
 
Woga wa kutokuwa na uwezo wa kubeba mimba
Malpa Kimaro (30) anasema kuwa anaogopa sana kwamba labda hataweza kuja kubeba mimba maisha yake yote baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na tatizo hilo.
 
Tumeoana kwa miaka minne sasa, tumefanya vipimo vingi ambavyo ni vya gharama kubwa sana lakini mpaka sasa hatujafanikiwa kupata mtoto,” anasema.
 
Hiki ndio kitu ninachoogopa zaidi. Nina wasiwasi labda sitakuja kuwa na watoto wangu mwenyewe maishani mwangu.
 
Huwa najiona mpweke sana nikiona wanawake wenzangu wakiwa wamewabeba au kuwashika mikono watoto wao na bado naamini kuwa Mungu hakuniumba mgumba,” amesema
 
Woga wa kukataliwa
Sote tumeumbwa ili kujenga mahusiano, kwa namna moja ama nyingine, lakini mara nyingine haiwi rahisi kiasi hicho kujenga mahusiano haya. Tunaweza kutaka kuwa miongoni mwa kundi fulani au darasa au kuwa pamoja na watu fulani.
 
Kwahiyo tunapowekwa kando kwenye mahusiano au makundi hayo tunapata hisia za kukataliwa, kutengwa au hata kudharaulika. Kwa Maria Michael (25),
 
woga wake mkuu uliongezeka baada ya kukataliwa na mwanaume aliyekuwa anampenda sana ambaye alitamani awe mpenzi wake.
 
Tulikuwa tupo darasa moja na tulikuwa katika kundi moja la kujisomea, lakini alinikataa kwakuwa hakuwa ananipenda,” alisema.
 
Najiuliza maswali mengi juu ya hawa bodaboda

Boda Boda anaweza kumchukua Baba wa familia akampeleka kwenye mchepuko alafu Boda Boda huyo huyo akamchukua Mama mwenye nyumba akampeleka kwa kiben ten na akawatunzia siri wala hawez kusema umbea na umbea una tabia ya kuwasha yataka moyo kwa Kweli.

Unakuta boda boda anatumwa kufata mademu tofauti tofaut na mkaka mmoja na kuwapeleka kwake leo atamfata Amina kesho lucy kesho kutwa nancy na wala hawaambii chochote lol wanaweza kujikuna umbea unavyowashaga yataka Moyo.

Boda boda anaweza kumbeba mpnz wako kampeleka guest na akufate ww akupeleke kazini na wala asikwambie mungu anawaona bodaboda

Asilimia kubwa ya boda boda wana wivuu kwa wake zaoo wanajua kinachotokea

Boda Boda wengi wanajua majina ya guest zote za mjini na bei zaooo ukitaka nzur mbaya ya kawaida wanajua zoteee

Hitimisho
Siku zote Boda Boda anayependa umbeya huwa anakosa wateja kijiweni na ukiona Boda Boda anapendwa na watu jua huyo ana siri nyingi za watu.

Kutoka uzi wa Demiss
 
FB_IMG_1515936758866.jpg
 
Back
Top Bottom