Haya ni baadhi ya madhara ya ulaji nyama hiyo:
1. Hatari ya kupata magonjwa ya moyo:
Nyama ina kitu kinaitwa lehemu kitaalamu kama cholesterol, hii hukaa kwenye mishipa ya damu ya binadamu na kusababisha damu kushindwa kupita vizuri..hii husababisha viuongo muhimu vya mwili kama moyo kukosa damu ya kutosha na kuanza kushindwa kazi.