myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Upendo wetu udumu
*Swali la leo....*
*Wewe ni mzazi, mwanao wa kike anasoma kidato cha 3 mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilopanda mwanao limepata ajali na wamekufa watu wote,upo katika harakati za kuandaa msiba mwanao anakupigia simu baba/mama mimi mzima sijafa mpenzi wangu KEVIN aliniambia nishuke ili niwe nae kwa siku mbili alafu niende shule,je wewe mzazi ungemfanyaje ? ukishindwa tuma kwenye sredi nyingine mpaka 2pate jibu.*
tembo mtoto