Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ajira au kazi katika ujumla wake huwakusanya pamoja watu wa tabia, haiba na mikabala mbalimbali ya kimaisha. Tabia na haiba hizi tofauti wakati mwingine huweza kusababisha misuguano , majuto na hata sononi. Kuna wakati bosi ni mkorofi na watumishi wengine wanakuwa wamekaa kisharishari tu.
 
Hali kama hizi ndizo huwafanya baadhi ya watumishi kusubiri likizo kwa hamu kubwa sana. Kwa kwenda likizo hujisahaulisha na vurugu hizi. Lakini wengine huamua kubadili ama kuacha kazi kabisa.
 
Hatua hizo mbili zinaweza kuwa ni za muda mfupi tu. likizo hatimaye huisha na mtu hurejea kazini au kule anakoenda baada ya kuacha sehemu ya awali, anaweza kupambana na kero kubwa na nyingi zaidi.
 
Hatua hizo mbili zinaweza kuwa ni za muda mfupi tu. likizo hatimaye huisha na mtu hurejea kazini au kule anakoenda baada ya kuacha sehemu ya awali, anaweza kupambana na kero kubwa na nyingi zaidi.
 
Haya ni mambo ambayo katika hatua za awali, mtu anaweza asifanikiwe, hata baada ya kufanya. Lakini kwa kujizoeza tena na tena atapatwa na mshangao kugundua yanafanya kazi..
 
Kama watu wa kazini kwako au pengine popote wanazungumza kwa kufoka au mkabala wa kukosa adabu na upendo, unaweza kujikuta unawaiga. Kama ni kufoka nawe utafoka, kama ni kutukana nawe utatukana na kama ni ubishi utabishana pia. Hii husaidia kuongeza tatizo na kuchokoza na kuchochea hisia.
 
Badala ya kufanya hivyo, unashauriwa kuwa mtulivu, uzungumze na kutenda kwa amani na upendo. Kwa kufanya hivyo, bila ya wao kujua, watajikuta wakiiga tabia zako. Bila kujali nafasi yako kazini, utaona wengine wakikutazama kama dira, kwa mfano na kama mwanga.
 
Jaribu kusalimia kila unayekutana naye hapo kazini. Kila unapojihisi kuwa umekerwa, vuta pumzi kwa upole na kwa kina kiasi mara tatu hivi, kabla hujaamua au kusema lolote.
 
Back
Top Bottom