Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kupungua kwa mfupa wa taya: zingatia kwamba unapofanya mazoezi, unasaidia kuimarisha misuli ya mwili wako; uimara wa mfupa wa taya unaongezeka unapong’ata na kutafuna. Kama kuna jino linakosekana, sehemu ambayo jino hilo lilikuwepo haitakuwa ikipata mazoezi hayo na itaanza kupungua.