Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Shahada hii pia hutolewa kwa mtu bila kujali kiwango cha umuhimu wa mtu kwenye jamii mradi mchango wake uwe ni wa umuhimu mkubwa unaostahili kutambuliwa kwa heshima ya juu na pia iwapo mchango wake utaendelea kulinufaisha Taifa kwa muda mrefu zaidi.
Chuo Kikuu mara nyingi hutoa shahada ya heshima kwa mtu ambaye alishawahi kusoma chuo hicho ingawa si lazima sana, lakini shahada hii haitunukiwi kwa mtu aliyeajiriwa na chuo hicho.
Chuo Kikuu mara nyingi hutoa shahada ya heshima kwa mtu ambaye alishawahi kusoma chuo hicho ingawa si lazima sana, lakini shahada hii haitunukiwi kwa mtu aliyeajiriwa na chuo hicho.