Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool wamewaambia Sevilla kuwa hawako tayari kumnunua mshambuliaji raia wa England Daniel Sturridge, 28 kwa mkopo. (Mail)
 
Screenshot_2018-01-16-00-54-09.png
 
Mkataba wa Manchester United kumsaini mshambualiaji wa Arsenal raia wa Chile utagharimu pauni milioni 180 baada ya Sanchez kukubali mkataba wa miaka minne unusu. (Telegraph)
Mkataba wa Sanchez na Manchester United utamlipa mchezaji huyo wa umri wa miaka 29, paunia 400,000 kwa wiki. (Independent)
 
Mara kadhaa tumesikia au kuona nyumba na zikiungua na watu kupata hasara za mali na wakati mwingine wenyewe kufariki ama kwa kuungulia ndani ya nyumba au kutokana na mshtukio wa nyumba zao kuungua kutokana na hitilafu ya umeme.
 
Hitilafu za umeme zinazoweza kupelekea madhara hayo ama zinaweza kusababishwa kutokana na matumizi ya nyumbani au mfumo wa umeme wenyewe. Hivyo ni vyema kuchukua tahadhari kabla hayo hayajatokea.
 
Hakikisha utandazaji nyaya (wiring) katika nyumba inafanywa na mkandarasi aliyesajiliwa na serikali kwa wao huwa na ujuzi wa kutosha kuweza kufahamu kifaa gani kinahitajika sehemu gani.
 
Hakikisha vifaa vyote vinavyofungwa katika nyumba yako (nyaya, soketi, swichi, saketi breka) vimethibitishwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Vifaa ambavyo havijathibitishwa si salama kwa matumizi
 
Back
Top Bottom