Hahahhahhaa ntazimwaga asubuh. Kwema kabisa,tunafaidi mvua za kutoshaAdhabu ya likes 50 inakuhusu...Yaani post zangu ndo umeona zinafaa kujifunzia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema huko Rocky City lakini?
Toka enzi zile za mababu zetuSi wa kwanza mimi kulilia mapenzi
[emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji441][emoji441]
Yamekukuta yepi mbona vilio[emoji23][emoji23]Si wa kwanza mimi kulilia mapenzi
[emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji441][emoji441]
Nikisikia sauti yake tu mm moyo wangu umeridhika
Avatar [emoji7][emoji7]Toka enzi zile za mababu zetu
Waaow thank youAvatar [emoji7][emoji7]
Nimeona mpendwa[emoji23][emoji23]mpaka madale yaitwa gestihausi si maskhara eti.
Ila bora ka tununu kamenyamazishwa maana kalikua kanajikuta keki kumbe shombo la samaki alichachaNimeona mpendwa[emoji23][emoji23]mpaka madale yaitwa gestihausi si maskhara eti.
Kumbe ndo mana alikuwa anampiga madongo tununu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mpendwa[emoji23][emoji23]mpaka madale yaitwa gestihausi si maskhara eti.
Kumbe ndo mana alikuwa anampiga madongo tununu[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona hajapata kiki mpya,ila ni bora hivi alivyotulia afanye mambo yake tu.Ila bora ka tununu kamenyamazishwa maana kalikua kanajikuta keki kumbe shombo la samaki alichacha
[emoji7][emoji7]nimekumiss kivuruge wangu[emoji23][emoji23]