Ingekuwa Afrika si ajabu ungesikia mambo ya kishirikina katika pango hili...![]()
Natural cave in Benagil, Algarve, Portugal.
Yanafrizi kabisa. Maajabu!![]()
Niagara falls in winter.
Border between USA and Canada.
Naona tonardo hiyo inazaliwa. Ni kizaazaa tu baada ya hapo !!!![]()
Severe weather in Nebraska, USA.
Huwezi amini kuwa ni jangwani !!!![]()
Dubai UAE
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimekuona. Umepita kimya kimya. Umejikausha kama vile siyo miguu yako hii. Anyway. Uwe na siku njema...[emoji120][emoji120][emoji120]. Miss you....
Naona tonardo hiyo inazaliwa. Ni kizaazaa tu baada ya hapo !!!
Jaribu supu yao mkuu. Hutajuta !!!Siwapendi hawa wadudu
![]()
Snail can sleep for 3 years.