Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nzuri kamanda. Kwema huko pwani?Mkuu habari
Nzuri kamanda. Kwema huko pwani?Mkuu habari
Duuu, uongo mtupu. Hivi kweli dona ulitoe jikoni kisha ulipakate namna hiyo!!!!?
Huwezi amini kuwa ni jangwani !!!
Fukuza kazi...
Nao wana mafuta au wana nini? Nini siri yao hawa jamaa?Wenzetu wanavyojua kutumia rasilimali zao. Kwa muda wa chini ya miaka 30 wameweza kuibadilisha nchi yao na kuwa tofauti sana na kuwa kivutio kikubwa sana cha Walimwengu toka nchi mbali mbali duniani.
Askari wa maonyesho huyo!!Fukuza kazi...
Nao wana mafuta au wana nini? Nini siri yao hawa jamaa?
Kiwango cha mafuta yao ni kidogo..mpaka 2030 yanakata..hivyo wamewekeza sana ili yakiisha wabaki na utalii na biashara...UZALENDO kwaoWana mafuta nadhani siri yao ni kuweka mbele maslahi ya nchi yao na Wananchi ili wafaidike na kuwa na kiwango cha maisha ya juu. Nchi imebadilika kwa kweli.