Ingekuwa Afrika si ajabu ungesikia mambo ya kishirikina katika pango hili...
Natural cave in Benagil, Algarve, Portugal.
Yanafrizi kabisa. Maajabu!
Niagara falls in winter.
Border between USA and Canada.
Naona tonardo hiyo inazaliwa. Ni kizaazaa tu baada ya hapo !!!
Severe weather in Nebraska, USA.
Huwezi amini kuwa ni jangwani !!!
Dubai UAE
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimekuona. Umepita kimya kimya. Umejikausha kama vile siyo miguu yako hii. Anyway. Uwe na siku njema...[emoji120][emoji120][emoji120]. Miss you....
Naona tonardo hiyo inazaliwa. Ni kizaazaa tu baada ya hapo !!!
Jaribu supu yao mkuu. Hutajuta !!!Siwapendi hawa wadudu
Snail can sleep for 3 years.